Wednesday, April 29, 2015

Bayern Munich sasa wameingia katika wimbi zito litakaloleta wasiwasi mkubwa juu ya mustakabali wao wa michuano ya UEFA, mara baada ya taarifa ya kushtusha mashabiki wa klabu hiyo kuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Arjen Robben atakuwa nje mpaka mwisho wa msimu.
Taarifa hiyo imekuja, huku kukiwa na taarifa nyingine ambayo inamhusu mshambulizi wa timu hiyo, Robert Lewandowski ambaye amevunjika mfupa wa juu wa mdomo pamoja na pua.
Majeraha ya wachezaji wote hao yametokea kwenye mchezo wa jana huku mabingwa hao wateule wa Bundesliga wakitolewa kwa changamoto ya mikwaju ya penati na Borussia Dortmund katika kombe la ligi nchini humo.
Ikumbukwe tu kabla ya mchezo wa jana Robben alikuwa majeruhi.
Pia kuna uwezekana mkubwa wa Lewandowski kuukosa mchezo wa nusu fainali ya ligi ya mabingwa dhidi ya Barcelona ingawa hakuna taarifa rasmi iliyothibitishwa juu ya hilo.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video