Thursday, April 30, 2015

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam
'Azam ilitwaa taji la VPL msimu uliopita bila kupoteza hata mechi moja ikishinda mechi 18 na kutoka sare mara nane.'

UONGOZI wa Azam FC umewapongeza Yanga kwa kutwaa taji la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu huu.

Yanga, klabu iliyoanzishwa 1935, ilitwaa taji la 25 la Tanzania Bara baada ya kuitandika bila huruma mabao 4-0 timu ya Police Morogoro katika Uwanja wa Taifa jijini hapa Jumatatu na kutawazwa mabingwa ikiwa na mechi mbili mkononi kabla ya kumalizika kwa msimu huu Mei 9.

Idrissa Nassoro, katibu mkuu wa Azam FC, leo ametuma salamu za pongezi kwa Yanga kwa kuwapoka taji la VPL msimu huu huku akiapa watapambana kufa na kupona kuhakikisha hawaiachii Simba kumaliza nafasi ya pili.

"Tunawapongeza Yanga kiwa kuchukua ubingwa maana ni kazi ngumu ukizingatia msimu huu ulikuwa na ushindani mkali. Kilichobaki kwetu kwa sasa ni kupambana kufa na kupona kuhakikisha tunamaliza nafasi ya pili," amesema kiongozi huyo.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video