Wachezaji wa Liverpool Raheem Sterling na Jordon Ibe wote kwa pamoja wanavyoonekana walipigwa picha wakivuta shisha.

Hii ni mara ya pili sasa Sterling ameonekana akivuta Shisha mara baada ya siku chache tu zilizopita kuonekana tena akifanya hivyo.

Jordon Ibe naye yumo.......

Sterling anaonekana akiwa ameshikilia bomba la shisha

0 comments:
Post a Comment