Sunday, March 1, 2015

Tangu mkataba utiliwe saini tumekuwa tukiona picha mbalimbali zikimuonesha Manny Pacquiao toka Ufilipino akijifua zaidi kimazoezi kujiweka sawa ili kumkamua vilivyo mpinzani wake ambaye hajapoteza pambano lolote hadi sasa Floyd Mayweather .
Manny amekuwa amekuwa akijifua vilivyo huko kwao Manila Ufilipino katika pambano ambalo litapigwa tarehe 2/05/2015 .
Watu wengi wanaona ni mapema mno kwayeye kujituma zaidi kimazoezi na kwake ni muda muafaka zaidi.
Hadi sasa hatujaona picha za mpinzani wake akijifua kimazoezi.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video