Sunday, February 22, 2015

KOCHA wa Polisi Morogoro, Mohammed Adolf Rishard amewajia juu waamuzi waliochezesha mechi ya jana ikipoteza 1-0 dhidi ya wenyeji Kagera Sugar uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga.
"Nimeshangazwa sana na namna Amon Paul alivyochezesha mechi, msaidizi wake Frednand Chacha, tena mwenye beji ya FIFA amenishangaza zaidi".
"Tulinyimwa goli letu, kipa aliutema mpira baada ya shuti kali, mchezaji anamalizia, Refa anadai ameotea. Hakuotea bhana".
Mwishoni mwa wiki iliyopita, Polisi walifungwa 2-0 na Simba ambapo Adolf bado aliwalalamikiwa waamuzi wa mechi hiyo. 

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video