
MAJOGOO wa jiji Liverpool wameanza vyema raundi ya 32 ya ligi ya Europa baada ya kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Besiktas ya Uturuki katika mechi iliyopigwa jana usiku uwanja wa Anfield.
Bao pekee la ushindi lilifungwa kwa mkwaju wa penalti na mshambuliaji mtukutu, Mario Balotelli dakika ya 85.
Timu nyingine ya England, Everton ilishinda mabao 4-1 dhidi ya Young Boys.

MATOKEO YA MECHI ZOTE HAYA HAPA
February 19
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT
0 comments:
Post a Comment