Friday, February 20, 2015


Thiago Alcantara amerejea tena mazoezini kujipanga vyema ili kuitumikia club yake ya Bayern Munich Mara baada ya kupotea uwanjani kwa takribani ya mwaka mzima sasa na kukaa nje huku akiugulia majeraha yake ya goti la kulia.

Alcantara kijana mwenye umri wa miaka 23 alisajiliwa kwa kitita cha paund mil 25 kutoka katika club ya Fc Barcelona ya Spain alikosekana pia uwanjani kwa msimu wa miezi miwili mwaka 2013/14 kwenye ligi kuu ya Ujerumani na kwenye michuano ya kombe la dunia huko Brazil.

Hii yote ni baada ya kupatwa na tatizo kwenye ligament upande wa kulia wa goti lake wakati anacheza dhidi ya Hoffeinheim mwezi machi mwaka jana.
Sent from my Huawei Mobile

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video