
BAADA ya kukamilika kwa ligi ya mabingwa barani Ulaya katikati wiki hii na jana ligi ya Europa, kesho jumamosi, ligi kuu England itaendelea kutimua vumbi.
Chelsea watakuwa nyumbani Stamford Bridge kuchuana na Burnley, wakati Manchester City wataikaribisha Newcastle United uwanja wa Etihad.
Arsenal watasafiri kuifuata Crystal Palace.
RATIBA YA MECHI ZA KESHO EPL HII HAPA
February 21
18:00
? - ?
18:00
? - ?
18:00
? - ?
18:00
? - ?
18:00
? - ?
18:00
? - ?
20:30
? - ?
0 comments:
Post a Comment