Tuesday, February 10, 2015

 
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya borrusia Dortmund Marco Reus amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu utakaomuweka katika dimba la signal Iduna Park mpaka mwaka 2019.


kiungo huyo amekuwa akiwaniwa na klabu mbalimbali barani ulaya wakiwemo mabingwa watetezi wa klabu bingwa barani ulaya Real madrid, Manchester united, bayern munich pamoja na klabu ya manchester city, lakini sasa Reus anatazamiwa kuendelea kukipiga na klabu hiyo chini ya kocha Jurgen Klopp.

Reus mwenye umri wa miaka 25 alisema anafuraha sana kuendelea kucheza ligi kuu nchini ujerumani kwani ni ligi nzuri na yenye upenzani wa hali ya juu, licha ya kuonekana kama klabu ya bayern munich na borrusia dortmund ndizo zinazopeta katika ligi hiyo almaarufu kama bundasiliga.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video