KIVYAKO VYAKO,,,,,
Mshambuliaji
wa kimataifa wa England,,, ambaye kwa
sasa anakipiga Sunderland,,, (Jamein defoe),,, ameweka rekodi ya kuzifunga timu zote za ligi kuu
England,,, huku mhanga wa kipigo kikubwa wakiwa
ni Man city,,, waliofungwa goli 6 ,,,

,,,,,,,,,,, JILIWAZE KIDOGO,,,,,,
Arsenal
ndio timu pekee kutoka England iliyoshiriki mara nyingi zaidi ligi ya mabingwa,,, kuliko timu
yoyote ile mpaka sasa,,, na pia ndio timu pekee
kutoka England iliyoshiriki michuano ya ligi ya
mabingwa ulaya bila kutwaa ubingwa,,, na wala
hawana ndoto za kufanya hivyo siku za karibuni,,,
,,,,,,,,KIFUTA
JASHO,,,,
LIVERPOOL
ndio timu pekee inayoshiriki ligi kuu England kwa sasa,, ambayo haijapoteza mchezo toka mwaka huu 2015 uanze,, na ndio mana
haikushangaza
mchezaji bora wa mwezi January kapewa
Emre can,,, na kocha bora January Brendan Rogers,,,
,,,,,,,,HAYAKUHUSU,,,,,,,
Combination
ya Radamel Falcao na Robin van Persie inachukuliwa
ndio combination mbovu kuliko zote zilizowahi
kutokea Man Utd,,, ukosefu wao wa magoli
na kushindwa kuelewewana kiuchezaji kumepelekea
captain Rooney kususa kuwapelekea mipira
na kuamua kucheza kama defense midfielder
ili kuwafundisha wajibu,,,
,,,,TUKUTANE TAIFA LEO
0 comments:
Post a Comment