Tuesday, February 17, 2015


JUZI kwenye Uwanja wa Azam jijini hapa kulikuwa na mechi kali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika ikiwahusisha wenyeji Azam FC dhidi ya E-lMerrikh ya Sudan.

Azam FC waliibuka na ushindi wa mabao 2-0. Shukrani kwa mabao ya kinara wa mabao Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa, Mrundi Didier Kavumbagu na mshambuliaji mtokea benchini, John Bocco 'Adebayor' yaliyopeleka msiba kwa mabingwa hao mara 19 wa Ligio Kuu ya Sudan.

Takwimu za mechi hiyo zinaonesha wageni waliongoza kwa kumiliki mpira na kucheza kwa nidhamu kubwa bila. Takwimu zote za mechi hiyo ziko hapo chini. Takwimu hizi ni kwa mujibu wa Kituo cha Azam TV kilichorusha moja kwa moja 'live' mechi hiyo ya kimataifa.

Mashuti yayolenga goli
Azam    10-10    El-Merrikh

Mashuti yasiyolenga goli 
Azam    4-5    El-Merrikh

Kona 
Azam    3-9    El-Merrikh

Rafu/Faulo
Azam    16-10    El-Merrikh

Kuotea
Azam 6-1    El-Merrikh

Kadi za Njano
Azam    1-1    El-Merrikh

Kadi Nyekundu 
Azam    0-0    El-Merrikh

Kumiliki mpira
Azam    48%-52%    El-Merrikh

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video