Huyu ni moja kati ya mashabiki wa Fayernoord akivujwa na damu nyingi kichwani mara baada ya kupigwa na polisi huko Rome Italy kufuatia na vurugu kubwa kabla ya mchezo wao na wenyeji Rome ya Italy

Takribani mashabiki 6000 wa Fayernoord walisafiri kuelekea Rome Italy kutazama timu yao ikimenyana na Rome huku mashabiki 33 wakikamatwa katika vurugu hizo siku ya jumatano huku mashabiki kumi (10) wakiachiwa mara moja.
Katika tukio hilo mashabiki wanane wa Fayernoord walipigwa faini ya Euro Paun 33,000 na kufungiwa kuingia katika viwanja vya mechi kwa muda usiojulikana.

Licha ya hilo mapambano zaidi yaliendelea baina ya mashabiki na Polisi wakati wa mechi ya alhamis huku askari takribani 17 wakijeruhiwa pia.
Mwisho wa mchezo huo matokeo yalikuwa ni sare ya bao 1-1 na mabao hayo yalifungwa na Gervinho kwa upande wa Roma na na Colin kazim Richards upande wa Fayernoord na mechi ikichezwa katika uwanja wa Olympico
0 comments:
Post a Comment