WAGOSI WA KAYA, MOMBASA COMBAINI HAKUNA MBABE WAGOSI wa kaya Coastal Union wametoka sare ya 1-1 na Mombasa Combaini katika mchezo wa kirafiki uliopigwa uwanja wa CCM MKwakwani, Tanga ikiwa ni maandalizi ya mechi ijayo ya ligi kuu soka Tanzania bara dhidi ya Polisi.
0 comments:
Post a Comment