"Sisi watu wa ajabu sana! tunamgombania mchezaji wa Nchi
jirani, wakati wenyewe hata time hawanae, hata kwenye timu ya Taifa
hayumo..tumpe uraia basi acheze timu yetu ya Taifa....maana tunampenda
sana,"Israel Saria,mchambuzi wa BBC na Mwanaspoti.
Home
»
»Unlabelled
» NUKUU YA LEO: ISRAEL SARIA WA BBC APIGA DONGO LA 'UKWELI-UKWELI' KUHUSU OKWI
Sunday, September 7, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment