Wednesday, September 3, 2014


New boy:  Radamel Falcao was keen to join Real Madrid before moving to Manchester United on Monday
Kijana mpya: Radamel Falcao alitaka kujiunga na Real Madrid
RADAMEL Falcao alihitaji kujiunga na Real Madrid, lakini miamba hiyo ya Hispania iliamua kwenda kinyume na makubaliano na mshambuliaji huyo mpya wa Manchester United, kwa mujibu wa baba mzazi wa mchezaji.
Nyota huyo wa Colombia alikuwa tayari kwenda Bernabeu, lakini Real walishindwa kumalizana na Monaco kabla ya United kuingia kati.
Akizungumza na Redio ya Colombia, baba mzazi wa Falcao, Radamel Garcia alisema: "Mambo hayakuwezekana na Real Madrid kwasababu kama una hela na unakwenda dukani kununua shati au suruali, lazima uamua kama unanunua au hapana.
'kwahiyo Real Madrid waliamua kutonunua na huwezi kufanya lilote juu ya hilo'.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video