Monday, September 8, 2014


In action: Manchester United are satisfied with assurances from Radamel Falcao that he is indeed 28 years old
Akiwa kazini: Manchester United wameridhika na nyaraka za  Radamel Falcao kuwa kweli ana umri wa miaka 28 

MANCHESTER United wamejiridhisha kuwa nyota wao mpya, Mcolombia, Radamel Falcao hajadanganya umri wake.
Ripoti ziliibuka mwishoni mwa wiki kuwa Falco ana miaka 30 na sio 28.
Jambo hilo lilionekana kuteka hisia za watu wengi kwasababu majira ya kiangazi mwakani United wana mpango wa kumpa mkataba mrefu nyota huyo baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo ulioigharimu paundi milioni 6.
Mkataba wanaotarajia kumpa Falcao utawafanya United wafikishe paundi milioni 52 katika usajili wa Mcolombia huyo.
Inafahamika kuwa United waliridhika na nyaraka zilizotolewa siku ya mwisho ya usajili juu ya mshambuliaji huyo.
New start: Reports resurfaced over the weekend claiming that Falcao is 30, not 28, but they appear untrue
Mwanzo mpya: Ripoti zinaeleza kuwa Falcao ana miaka 30, na sio 28, lakini United wanadai sio kweli 

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video