Wednesday, September 10, 2014


More deals: Executive vice-chairman Ed Woodward has admitted Manchester United could spend in January
Tutasajili zaidi: Makamu mwenyekiti wa United,  Ed Woodward amekiri kuwa Man United itatumia fedha nyingi katika dirisha dogo la usajili mwezi januari.

MABOSI wa Manchester United, wanatarajia kuwa msimu huu Louis van Gaal atamaliza katika nafasi tatu za juu-na  atapewa fedha zaidi za kusajili katika dirisha dogo la Januari ili kuhakikisha anafanikiwa.
Makamu mwenyekiti wa United, Ed Woodward ndiye aliyetoa kauli hiyo leo kwa niaba ya familia ya Glazer wakati anatangaza mapato ya klabu hiyo kwa msimu uliopita.
Rekodi zilionesha kuwa msimu wa 2013-14, United ilivuna paundi milioni 433.2, lakini matarajio ni kwamba watapata hasara zaidi na kushuka mpaka paundi milini 400 msimu huu-na sababu kubwa ni kushindwa kufuzu michuano ya UEFA.
Big money: United signed Angel di Maria from Real Madrid for a British record transfer fee of £60million
Mkwanja mrefu: United walimsaini Angel di Maria kutoka Real Madrid kwa dau la paundi milioni 60 na kuvunja rekodi ya usajili wa England All change: Holland international Daley Blind was part of United's £150m summer recruitment drive
Mabadiliko zaidi: Nyota wa Uholanzi Daley Blind alikuwa sehemu ya usajili wa United uliogharimu paundi milionbi 150 majita ya kiangazi  

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video