
MPAKA sasa jumla ya mabao 79 yamefungwa katika mechi za ligi kuu soka nchini England.
Msimu uliopita, Luis Suarez aliyeichezea Liverpool alitwaa tuzo ya mfungaji bora akitia kambani mabao 31.
Msimu huu nyota huyo hayupo England baada ya kujiunga na FC Barcelona mapema majira ya kiangazi mwaka huu kwa dau la paundi milioni 75.
Lakini kuna wakali wengine wapo akiwemo mshambuliaji tegemeo wa Chelsea, Diego Costa ambaye mpaka sasa anaongoza katika orodha ya wafungaji akiwa tayari alishagusa nyavu za wapinzani mara nne.
Kwa mujibu wa mtandao wa Supersport.com, Costa anafuatiwa na Nathan Dyer wa Swansea City mwenye miaka 3. Katika nafasi ya tatu yupo Steven Naismith wa Everton akiwa na mabao 3. Nafasi ya nne yupo Aaron Ramsey wa Arsenal akiwa na mabao 2, sawa na Andreas Weimann wa Aston Villa katika nafasi ya tano.
ORODHA WA WAFUNGAJI WA LIGI KUU SOKA NCHINI ENGLAND MPAKA SASA
| Player | Team | Goals |
| Diego Da Silva Costa | Chelsea | 4 |
| Nathan Dyer | Swansea City | 3 |
| Steven Naismith | Everton | 3 |
| Aaron Ramsey | Arsenal | 2 |
| Andreas Weimann | Aston Villa | 2 |
| Branislav Ivanovic | Chelsea | 2 |
| Eric Dier | Tottenham Hotspur | 2 |
| Leonardo Ulloa | Leicester City | 2 |
| Morgan Schneiderlin | Southampton | 2 |
| Nacer Chadli | Tottenham Hotspur | 2 |
| Nikica Jelavic | Hull City | 2 |
| Raheem Sterling | Liverpool | 2 |
| Saido Berahino | West Bromwich Albion | 2 |
| Sergio Agüero | Manchester City | 2 |
| Stevan Jovetic | Manchester City | 2 |
| Aiden McGeady | Everton | 1 |
| Alberto Moreno | Liverpool | 1 |
| Alexis Sánchez | Arsenal | 1 |
| André Schürrle | Chelsea | 1 |
| Brede Hangeland | Crystal Palace | 1 |
| Carlton Cole | West Ham United | 1 |
| Charlie Austin | Queens Park Rangers | 1 |
| Chris Wood | Leicester City | 1 |
| Daniel Sturridge | Liverpool | 1 |
| Daryl Janmaat | Newcastle United | 1 |
| Total | 79 |

0 comments:
Post a Comment