Friday, August 15, 2014


Favourite: Tim Sherwood has emerged as the leading contender to take the Crystal Palace job
Chagua la kwanza: Tim Sherwood anaongoza katika mbio za kupata kazi ya ukocha mkuu katika klabu ya  Crystal Palace.

Imechapishwa Agosti 15, 2014, saa 1:22 usiku

 TIM Sherwood anaongoza katika mbio za kuwania kurithi mikoba ya Tony Pulis katika nafasi ya kocha mkuu wa Crystal Palace.
Kocha huyo wa zamani wa Tottenham hana kazi baada ya kufukuzwa kibarua chake White Hart Lane mapema majira haya ya kiangazi na mwenyekiti wa Tai hao, Steve Parish anahitaji kufanya mazungumzo ili atue dimba la Selhurst Park. 
Plenty to shout about:  Pulis was unhappy with the transfer policy at Crystal Palace
 Pulis hakufurahishwa na sera ya uhamisho ya  Crystal Palace.

Jambo la kumteua Sherwood bado ni safari ndefu kwasababu klabu inawachambua makocha wengine wanaowania nafasi hiyo.
Pulis aliachana na Place usiku wa jana kufuatia kutofautiana na Parish katika mipango ya usajili.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video