Wednesday, August 6, 2014


Looking good: Wayne Rooney scored in the win over Liverpool in Miami
Anaonekana yupo vizuri: Wayne Rooney alifunga katika ushindi dhidi ya Liverpool mjini Miami.

Imechapishwa Agosti 6, 2014, saa 7:29 mchana

LOUIS van Gaal ameanza kazi Manchester United na kutwaa 'ndoo' ya kombe la kimataifa la Guinness.
Jumatatu ya wiki hii Van Gaal aliifumua Liverpool mabao 3-1 katika mechi ya fainali mjini Miami nchini Marekani.
Mholanzi huyo anajua wazi kuwa ushindi dhidi ya Liverpool kule Marekani umempa pointi chache kwa mashabiki, lakini una maana kwake na ni kipimo kizuri.
Hata hivyo kocha aliyemshinda kwenye uwanja wa Sun Life anaamini kuwa bado bosi huyo wa Man United anatakiwa kuamka wakati wa msimu mpya wa ligi kuu soka nchini England utakapoanza agosti 16 mwaka huu.
Brendan Rodgers alionya kuwa Van Gaal asitarajie urahisi katika soka la Uingereza na kutumia uzoefu aliopata na klabu za Barcelona, Ajax na Bayern Munich, kwani katika mataifa ya timu hizo kunakuwa na klabu moja au mbili zinazotawala.
Van Gaal ameshinda makombe matatu akiwa na klabu tatu, yaani Hispania, Uholanzi na Ujerumani. Lakini Rodgers anaamini atakabiliana na upinzani mkubwa akifundisha ligi kuu England.
"Nadhani itakumbana na ushindani katika ligi hii tofauti na ligi zingine alizowahi kufanya kazi,' Alisema Bosi wa Liverpool. "Ligi nyingi kuna timu moja au mbili tu na huwa zinatarajiwa kushinda ubingwa".
Silver lining: Darren Fletcher and Rooney celebrate with the Guinness International Champions Cup
Kombe la kwanza:  Darren Fletcher na Rooney wakishangilia baada ya kutwaa kombe la kwanza chini ya Louis Van Gaal 

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video