
Mshindi: Arjen Robben alifunga bao lililoamua mshindi dakika mbili tu baada ya mapumziko dhidi ya Wolfsburg katika dimba la Allianz Arena.
MABINGWA Bayern Munich wameanza Bundesliga jana kwa kuifunga VfL Wolfsburg mabao 2-1.
Mholanzi, Arjen Robben alifunga goli moja na kutoa pasi ya mwisho ya goli lingine lililofungwa na mshindi wa kombe la dunia Thomas Muller.

Maraha hayo: Wachezaji wa Bayern Munich wakimkimbilia Arjen Robben baada ya kufunga goli muhimu.

Mfunguzi: Mshindi wa kombe la dunia na timu ya taifa ya Ujerumani, Thomas Muller aliifungia bao la kuongoza Bayern Munich katika dakika ya 37.

Oyaaaa! mpo?: Thomas Muller akishangilia

Risasi: Arjen Robben alifunga bao la pili katika dakika ya 47 na kuipa ushindi klabu yake dhidi ya Wolfsburg players

Nyota wa Wolfsburg, Junior Malanda hakuweza kusawazisha baada ya kukosa bao la wazi katika dakika za mwisho
0 comments:
Post a Comment