Uongozi wa MPENJA BLOG chini ya Muendeshaji mkuu, Mr. Baraka Adson Mpenja unawaomba radhi wasomaji wake kwa kutopata taarifa kwa muda huu.
Kitengo cha ufundi kipo katika maboresho ya mtandao huu ili uonekane upya.
Lengo ni kuwafanya mpate taarifa muhimu kwa wakati wote.
Kwa wakati huu mtaendelea kupata taarifa kidogo kidogo, lakini panapo majaaliwa, kesho tutarudi hewani kwa kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya.
Tunashukuru kwa ushauri wenu kwa muda wote.
Mungu awabairiki.
Amina.

0 comments:
Post a Comment