Friday, July 4, 2014


Heads up: Germany defender Mats Hummels holds off the challenge of Raphael Varane to open the scoring
Ndosi: Beki wa Ujerumani, Mats Hummels akifunga bao la kuongeza baada ya kumzidi ujanja beki wa Ufaransa 
Raphael Varane.

UJERUMANI imekuwa nchi ya kwanza kufuzu hatua ya nusu fainali katika fainali za mwaka 2014 mwaka huu nchini Brazil baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ufaransa.
Bao hilo pekee la ujerumani limefungwa na beki Mats Hummels. 
Perfect placement: Hummels' header loops towards Hugo Lloris' goal after just 13 minutes in Rio
Kichwa cha Hummels kilimuacha kipa wa Ufaransa ,Hugo Lloris  akiwa hana la kufanya katika dakika ya 13 mjini Rio.

Kikosi cha Ufaransa: Lloris, Debuchy, Varane, Sakho (Koscielny 72), Evra, Valbuena (Giroud 85), Pogba, Cabaye (Remy 73), Matuidi, Griezmann, Benzema. 

Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Ruffier, Landreau, Cabella, Mavuba, Mangala, Sagna, Digne, Sissoko, Schneiderlin.

Kikosi cha Ujerumani: Neuer, Lahm, Hummels, Boateng, Howedes, Ozil (Gotze 83), Kroos, Schweinsteiger, Khedira, Muller, Klose (Schurrle 69). 
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Zieler, Weidenfeller, Grosskreutz, Ginter, Podolski, Draxler, Durm, Mertesacker, Kramer.
Kadi ya njano: Khedira, Schweinsteiger
Mfungaji wa goli:: Hummels
Mwamuzi: Nestor Pitana (Argentina)

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video