Rais wa TPBO Yassin Abdallah ‘Ostadhi’ akiwainua mikono juu mabondia Mada Maugo kushoto na Thomas Mashali baada ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupambana Sikukuu ya Nanenane (8/8/2014) katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakati wa tamasha la usiku wa matumaini lililoandaliwa na kampuni ya Grobal Publishers Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
| Mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kupambana Agost 8 katika uwanja wa taifa Dar es salaam wakati wa tamasha la matumaini siku ya Sikukuu ya Nanenane lililoandaliwa na kampuni ya Grobal Publishers Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com |
Rais wa TPBO Yassin Abdallah ‘Ostadhi’ kushoto akimkabidhi sehemu ya fedha kidogo bondia Mada Maugo kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Thomas Mashali utakaofanyika
Agost 8 katika uwanja wa taifa Dar es salaam wakati wa tamasha la matumaini siku ya Sikukuu ya Nanenane lililoandaliwa na kampuni ya Global Publishers Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com
Agost 8 katika uwanja wa taifa Dar es salaam wakati wa tamasha la matumaini siku ya Sikukuu ya Nanenane lililoandaliwa na kampuni ya Global Publishers Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com
Rais wa TPBO Yassin Abdallah ‘Ostadhi’ kushoto akimkabidhi sehemu ya fedha kidogo bondia Thomas Mashali kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Mada Maugo utakaofanyika
Agost 8 katika uwanja wa taifa Dar es salaam wakati wa tamasha la matumaini siku ya Sikukuu ya Nanenane lililoandaliwa na kampuni ya Grobal Publishers Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com
Agost 8 katika uwanja wa taifa Dar es salaam wakati wa tamasha la matumaini siku ya Sikukuu ya Nanenane lililoandaliwa na kampuni ya Grobal Publishers Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kupambana Agost 8 katika uwanja wa taifa Dar es salaam wakati wa tamasha la matumaini siku ya Sikukuu ya Nanenane lililoandaliwa na kampuni ya Grobal Publishers Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com

0 comments:
Post a Comment