Mwanaume wa kazi, David Luiz akishangilia bao lake.
Hapa ni kupaa hewani tu!: Luiz alikimbia mpaka kwenye kibendera cha kwenye kona kabla ya kukirukia wakati akishangilia bao aliloifungia Brazil.
Brazil ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Colombia na kufuzu hatua ya nusu fainali.

0 comments:
Post a Comment