Tuesday, June 24, 2014

Up for it: Mexico's Rafael Marquez , second right, scores the first goal against Croatia
Mchezaji wa Mexico, Rafael Marquez , wa pili kulia, akiifungia timu yake bao la kuongoza.

TIMU ya Taifa ya Mexico imefanikiwa kufuzu hatua ya 16 ya kombe la dunia baada ya kuilaza Croatia mabao 3-1.
Mexico tangu wanaanza michuano hii walionekana kuwa timu nyepesi, lakini kwa moto wanaowasha, timu nyingi yawezekana hazipendi kukutana nao.
 Rafael Marquez, alikuwa wa kwanza kuifungia Mexico bao dhidi ya timu pungufu ya Croatia kwani  Ante Rebic alioneshwa kadi nyekundu.
Andres Guardado alifunga bao la pili baada ya Mexico kufanya shambulizi la kushitukiza dhidi ya Croatia walioonekana kukosa nidhamu ya mchezo baada ya Ante Rebic kutolewa nje kwa kadi nyekundu.
Bao la tatu lilifungwa na mshambuliaji wa Manchester United, Javier Hernandez `Chicharito`.
 Bao la kufutia machozi kwa Croatia lilifungwa na  Ivan Perisic.
High jump: Marquez leaps into the air as he celebrates his goal with team-mate Javier Hernandez
Marquez akishangilia bao lake na mchezaji mwenzake  Javier Hernandez

Hapa chini ni vikosi vya timu zote na viwango vya wachezaji. Alama ni chini ya 10.

Kikosi cha CROATIA (4-4-2): Pletikosa 7; Vrsaljko 5.5 (Kovacic 58, 6), Lovren 6.5, Corluka 7.5, Pranjic 6.5 (Jelavic 74, 6); Srna 5, Rakitic 6, Modric 6.5, Perisic 6; Mandzukic 6, Olic 6 (Rebic 69, 6).
Kadi ya njano: Rakitic.
Kadi nyekundu: Rebic.
Kikosi cha MEXICO (4-4-2): Ochoa 7; Rodriguez 7, Marquez 8, Herrera 7, Layun 7; Dos Santos 5.5 (Hernandez 62min, 6), Moreno 6, Guardado 6.5 (Fabian 84), Peralta 6 (Pena 79); Aguilar 6, Vazquez 6.
Kadi za njano: Marquez, Vazquez.
Mchezaji bora wa mechi: Rafael Marquez.
Mwamuzi: Ravshan Irmatov (Uzbekistan) 6.
Watazamaji: 41,212.
Poacher: Mexico's Javier Hernandez celebrates scoring the third goal against Croatia
 Javier Hernandez akifunga bao  la tatu
Javier Hernandez celebrates scoring Mexico's third goal
Chicharito akishangilia bao lake
Joy: Herrera celebrates after Andres Guardado scored Mexico's side's second goal
Kocha wa Mexico Miguel Herrera akishangilia baada ya  Andres Guardado kuifungia timu yake bao la pili.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video