
Fungua sana domo kaka: David Luiz akipimwa afya katika uwanja wa mazoezi wa Granja Comary.
Imechapishwa Mei 27, 2014, saa 9:14 asubuhi.
WAKATI homa ya fainali za kombe la
dunia ikizidi kupanda kwa mataifa shiriki, timu mwenyeji, Brazil,
inaendelea kujiwinda vikali mno ili kubeba ndoo ndani ya ardhi yake ya
nyumbani.
Wachezaji wa Brazil wanaonekana kuimarika sana na kuonesha furaha ya kuanza shughuli hiyo juni 12 mwaka huu.Kocha
mkuu Luiz
Felipe Scolari anaendelea na programu yake ya mazoezi na wachezaji wake
wamepimwa afya katika uwanja wa mazoezi wa Granja Comary mjini
Teresopolis, kilometa 90 kutoka Rio Janeiro.
Fundi: David Luiz akiwa amelala katika kitanda cha daktari.

Mpole sana: David Luiz akichunguzwa sikio lake

Uchunguzi: Thiago Silva akichunguzwa na daktari

Nyota huyo wa Bayern Munich akichunguzwa jicho

Mlinda mlango Victor akisubiri kwenda kipimwa afya yake

Wakiwasili: Kocha msaidizi wa Brazil, Carlos Alberto Parreira ana imani kuwa timu yao nzuri

Karibu kijana: Luiz Felipe Scolari akimsalimia Neymar alipowasili uwanjani hapo

Dani Alves anaye alisalimiwa na Scolari
0 comments:
Post a Comment