Mashabiki wa Timu ya Simba wakijikusanya nje ya jengo la klabu hiyo kongwe kupinga Wambura kuondolewa kwenye uchaguzi unakuja hivi karibuni
Polisi wakiwa wamefika eneo la klabu ya simba ili kuimarisha ulinzi na kuwataka wanachama wa simba kutulia ili wapate majibu kwa kamati ya uchaguzi
Mamia ya wanachama wa simba wakiwa nje ya jengo la simba mchan huu
PICHA NA DJ SEK BLOG
0 comments:
Post a Comment