



Wanajivunia: Wazazi wa Lambert, Ray and Maureen, walimsaidia sana kijana enzi za utoto wake

CLUB | YEARS | FEE | GAMES | GOALS |
---|---|---|---|---|
Blackpool | 1998-00 | Free | 3 | 0 |
Macclesfield | 2001-02 | Free | 49 | 10 |
Stockport | 2002-05 | £300,000 | 110 | 19 |
Rochdale | 2005-06 | Free | 68 | 28 |
Bristol Rovers | 2006-09 | £200,000 | 155 | 59 |
Southampton | 2009 - | £1m | 235 | 117 |
England | 2013- | N/A | 4 | 2 |
Kitendo cha kukataliwa na Liverpool wakati wa ujana wake kilimchanganya Lambert kama alivyosema mwanzoni mwa msimu uliopita: "Nilikuwepo Liverpool wakati nikiwa na miaka 10 hadi 15 na kimsingi niliambiwa siko vizuri, kiuhalisia ilikuwa ngumu kuamini".
"Nilidhani ilikuwa mwisho wa dunia. Lakini naweza kuwaambia watu waliopo katika hali kama ile kuwa sio mwisho wa dunia. Inaweza kukufanya ukafanikiwa zaidi na zaidi".
0 comments:
Post a Comment