Carlo Ancelotti amekuwa kocha wa pili kushinda makombe matatu ya Ulaya

Mshindi: Ancelotti pia alishinda makombe mawili akiwa na AC Milan mwaka 2003 na 2007.
Imechapishwa Mei 25, 2014, saa 4:00 asubuhi
Carlo Ancelotti amewapigia `Saluti` na kuwashukuru wachezaji wake baada ya kumuweka katika historia.
Carlo Ancelotti amewapigia `Saluti` na kuwashukuru wachezaji wake baada ya kumuweka katika historia.
Kocha huyo raia wa Italia anakuwa kocha wa pili kushinda makombe matatu ya Ulaya kama alivyofanya Bob Paisley.
"Tulikuwa tunauwazia usiku huu (jana) tangu mchezo wa kwanza wa msimu huu na hatimaye tumefanikiwa kwa kile tulichopanga kufanya mwanzoni mwa kampeni". Alisema Ancelotti.
Ancelotti alionekana kuchanganyikiwa na mchezo huo, lakini mabadiliko aliyoyafanya kwa kumuingiza Isco na mfungaji wa bao Marcelo yaliwaamusha Real Madrid na kupata ushindi uliowapa historia ya pekee katika michuano ya ligi ya mabongwa.

0 comments:
Post a Comment