Wednesday, April 9, 2014

Top Model anayeibukia kwa kasi, mwenye malengo na juhudi kubwa katika kazi zake, Anna Gura (kulia) amerejea nchini baada ya kwenda kufanya maonesho ya kimataifa jijini London.

Kazi nzuri Anna a.k.a Mama Kaunda wa Ukweli. 

Kiroho safi tunakupongeza kwa juhudi zao na ufanisi wa kazi zako.

Tunajua unabanwa na ratiba za shule, lakini umekuwa ukijali kipaji chako na kupangilia muda wako.

Kampuni ya Mpenja Media Company LTD, inayomiliki MPENJA BLOG  inakutakia kila la heri na mafanikio Mema katika shughuli zako.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video