Saturday, April 5, 2014

NYOTA Juan Mata amefunga mabao mawili likiwemo moja zuri la mpira wa adhabu na kutoa mchango mkubwa katika ushindi wa Manchester United wa mabao 4-0 dhidi ya Newcastle United Uwanja wa St James' Park jioni hii katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. 
Kocha David Moyes alifanya mabadiliko kadhaa katika kikosi kilichotoa sare ya 1-1 na mabingwa wa Ulaya, Bayern Munich katikati ya wiki akiwapumzisha kipa David de Gea, mabeki Rio Ferdinand na Nemanja Vidic kwa ajili ya mechi ya marudiano na Bayern.
Mata alifunga dakika ya 39 na 50 wakati mabao mengine yakafungwa na Javier Hernandez dakika ya 64 na Adnan Januzaj dakika ya 90 na sasa Manchester United inapanda hadi nafasi ya sita katika msimamo wa Ligi Kuu ya England kwa kufikisha pointi 57 baada ya kucheza mechi 33.
Ameanza kuonyesha makali: Juan Mata akimtoka Cheick Tiote
Swinging: Marouane Fellaini catches Dan Gosling with a stray arm
Ameanza kulipa: Marouane Fellaini akipambana na wachezaji wa Newcastle, kulia ni Dan Gosling
Acrobat: Papiss Cisse swings a leg to get Newcastle on the attack
Papiss Cisse wa Newcastle akibinuka tika tak

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video