Thursday, April 3, 2014

IMG_0031 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma akipokewa  na ujumbe wa Tanzania unaohudhuria mkutano wa siku mbili baina ya Afrika na Ulaya mara baada ya kuwasili kwenye Hoteli ya Sheraton huko Brussels  nchini Ubelgiji akitokea nchini Uingereza tarehe 2.4.2014.IMG_0062Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mke wa Rais wa Madagascar Mama Lalao Rajaonarimampianina muda mfupi kabla ya kushiriki kwenye chakula cha mchana kilichoandaliwa na wenza wa mabalozi wa Afrika kwa ajili ya wake wa Marais na Wakuu wa nchi za Afrika wanaohudhuria mkutano wa Afrika na Ulaya unaofanyika huko Brussels tarehe 2-3.4.2014.IMG_0090Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea cheti maalum cha ulezi wa heshima wa Chama cha wenza wa mabalozi wa nchi za Afrika walioko nchini Ubelgiji  (Honory Patronese of the Association of the Spouses of African Ambassadors in Belgium) kutoka kwa Mke wa Balozi wa Cameroon nchini Ubelgiji Mama Christiane Eloundov de Evina  wakati wa chakula cha mchana walichowaandalia wake wa Marais wa Afrika jijini Brussels tarehe 2.4.2014IMG_0100Mke wa Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Mama Adelaida Kamala akimkabidhi Cheti Maalum  cha ulezi wa heshima cha wenza wa mabalozi wa Afrika walioko Ubelgiji, Mke wa Rais wa Cameroon Mama Chantal Biya wakati wa chakula cha mchana walichowaandalia wageni hao kwenye hoteli ya Sheraton tarehe 2.4.2014.IMG_0052Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wake wa Marais na Wakuu wa nchi za Afrika pamoja wa wenza wa Mabalozi wa nchi hizo mara baada ya kupata chakula cha mchana kilichoandaliwa na wenza hao tarehe 2.4.2014. 
PICHA NA JOHN  LUKUWI.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video