FT: KAGERA SUGAR 0 VS 0 SIMBA SC
Dakika 90` zimamemalizika hapa Kaitaba
Dakika 45 zimeshatimia na zimeongezwa dakika 3
Dakika ya 44 kipindi cha pili, Uhuru Seleman Mwambungu anaandika bao la pili lakini mwamuzi anakataa
Dakika ya 44 kipindi cha pili mabao bado 1-1 hapa Kaitaba
Kaitaba ni dakika ya 37 kipindi cha pili mabao bado ni 1-1
.............................................................................................
FT: Kutoka Chamazi, Ashanti United 0 vs 0 Mbeya City
...............................................
Dakika 23 kipindi cha pili zimeshakatika Kagera Sugar 1 v 1 Simba SC
Dakika 15 za kipindi cha pili zimeshaondoka mabao bado ni 1-1
Dakika ya 6 kipindi cha pili, Them Felix `Mnyama` anachomoa bao baada ya beki Henry Joseph kuzembea na kufanya matokeo yawe 1-1.
Dakika ya 3 kipindi cha pili, Kagera Sugar wame wakosakosa Simba na washambuliaji wao wangekuwa makini wangefunga mabao mawili yaharaka.
Kipindi cha pili kimeanza, kagera Sugar 0 vs 1 simba sc
...............................................................
HT: KAGERA 0 SUGAR VS 1 SIMBA SC
DAKIKA 45 ZA KIPINDI CHA KWANZA ZIMEMALIZIKA KAGERA SUGAR 0 VS 1 SIMBA SC
Dakika ya 45 ya kipindi cha kwanza, Zahor Idd Pazzi anaifungia bao la kuongoza Simba sc baada ya kuitendea haki krosi iliyochongwa na nahodha Masud Nassoro Cholo.
Dakika ya 44 hakuna bao lolote hapa Kaitaba
Dakika 42 zimekatika mabao bado ni 0-0
Dakika ya 40 kipindi cha kwanza Kagera Sugar wanashambulia lango la Simba sc.
Dakika 38 kipindi cha kwanza zimeshaondoka, hakuna bao lolote
Dakika ya 35 kipindi cha kwanza, Paul Ngwai almanusura aiandikie bao Kagera Sugar, lakini Ivo Mapunda anaokoa
Dakika 30 za kipindi cha kwanza zimeondoka, mabao bado ni 0-0
Dakika ya 15 kipindi cha kwanza si Kagera Sugar wala Simba sc walioona lango la mwenzie.
Dakika ya 13 kipindi cha kwanza mpira ni wakawaida sana, hakuna presha hata kidogo, timu zote zinacheza taratibu sana.
Dakika ya 12 zimeshaondoka hapa Kaitaba mabao ni 0-0.
Dakika ya 6 kipindi cha kwanza milango bado migumu
Mpira umeanza hapa Kaitaba
Timu zote zipo uwanjani na zinakaguliwa na mgeni rasmi
KAGERA SUGAR VS SIMBA SC UWANJA WA KAITABA

0 comments:
Post a Comment