NANI ALIKUWA MKALI WA HESABU WAKATI UNASOMA?, MKUMBUKE LEO HII!! Leo ni siku ya Pi (pai) = [π] Duniani. Mkumbuke yule mkali wa Hesabu unayemkumbuka sana uliyewahi kusoma naye kwa kumtaja hapa na kumtakia siku njema ya Pi. Kwa hisani ya East Africa Television (EATV)
0 comments:
Post a Comment