Mshambuliaji hatari wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa stars na klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, Mbwana Aly Samatta (wa kwanza kulia) akiwa mazoezini jana
Mbwana Samatta akijifua vilivyo
Jembe: Samata ( kulia) akinoa makali yake, lazima makipa wamkome tu
0 comments:
Post a Comment