Tuesday, December 24, 2013

TA1A4690Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,(katikati) alipokuwa kaitoa maelekezo kwa Mwalimu wa Somo la Phyisics Abrahmani Mussa,alipotembelea darasa hilo baada ya kufungua Skuli hiyo ya Sekondari ya Wanawake Utaani A,katika  Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Mwalimu Mkuu Mwanakombo Nassor Ahmed,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A4711Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Utaani B,Maulid Abdi Aweis,akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,(kulia) walipotembelea Makataba ya Skuli hiyo leo, baada ya kuifungua Skuli ya Sekondari ya Wanawake Utaani A,katika  Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A4725 Baadhi ya Wanafunzi wa wakiwa katika Maktaba ya Skuli ya Sekondari Utaani B,ambapo hufika kujipatia huduma kuangalia vitabu mbali mbali,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A4757Wanafunzi wa Skuli ya UtaaniA,Wanawake   wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Skuli yao ya Sekondari,Mkoa wa Kaskazini Pemba,iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A4765Baadhi ya walimu na Viongozi katika Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,wakiwa  katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Utaani A,na Chasasa,zilizofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A4811Wasomaji wa utenzi Asha Ali Omar,na Asha Ali Mbarouk,wakitoa burudani yao wakati wa sherehe za ufunguzi wa Skuli
ya Sekondari Utaani A,na Chasasa, Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,zilizofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A4818Risala ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Chasasa , Utaani A,Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba ,ikisomwa na Mwalimu Mkuu Msaidizi Zaina Omar Othman,leo baada kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video