Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya
Ustawi wa Jamii,Maendeleo ya Vijana,Wanawake na Watoto, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Wizara ya Ustawi wa Jamii,Maendeleo ya Vijana,Wanawake na Watoto,wakiwa katika mkutano
wa utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

0 comments:
Post a Comment