Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimsikiliza Dkt. Mugisha Clement, aliyekuwa akimpa maelezo kuhusu
alivyompokea Mjumbe wa Tume ya Katiba, Dkt. Sengondo Mvungi, aliyelazwa
katika Kitengo cha Uangalizi Maalum (ICU) MOI katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili, wakati alipokwenda kumjulia hali, kufuatia kujeruhiwa na
majambazi usiku wa kuamkia jumapili huko nyumbani kwake maeneo ya
Kibamba. Picha na OMR
Home
»
»Unlabelled
» MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMJULIA HALI DKT. SENGONDO MVUNGI ALIYELAZWA MUHIMBILI
Monday, November 4, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment