Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akiwasilisha
 mada ya kwanza juu ya Ukubwa wa Sekta ya Mawasiliano hapa nchini wakati
 wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) 
hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu
 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es
 Salaam.
Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy akifafanua jambo wakati wa Warsha ya
 siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa 
nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es 
Salaam.
Mkurugenzi wa Sekta ya Washangiaji na Watoa Huduma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Dkt. Raynold Mfungahema akiwasilisha
 mada wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando 
(Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa 
Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza 
B,jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya Wapiga Picha kutoka Vyombo mbali mbali vya habari wakiendelea na zoezi la kuchukua matukio mbali mbali wakati wa Warsha
 ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Blogggers) hapa 
nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es 
Salaam.
 Baadhi ya Bloggers mbali mbali hapa nchini  wakiwa kwenye Warsha
 hiyo ya siku mbili iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa 
Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza 
B,jijini Dar es Salaam.














0 comments:
Post a Comment