Rais
Mh. Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea hati ya utambulisho kutoka
kwa Balozi mpya Dkt. Luigi Scotto (Kulia) kutoka Italia katika hafla
fupi iliyofanyika Ikulu- Dar es Salaam..

Rais
Mh. Dkt, Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Balozi mpya
anaewakilisha nchi ya Italia nchini Tanzania Balozi Dkt. Luigi Scotto(
kushoto) leo Ikulu Dar es Salaam.

Balozi
mpya anaewakilisha nchi ya Italia nchini Tanzania Dkt, Luigi Scotto
(katikati waliovaa suti) pamoja na maafisa wakuu wa Itifaki wakiwa
katika wimbo wa taifa.leo katika hafla hiyo ya utambulisho Ikulu Dar es
Salaam

Rais
Mh.Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akisikiliza taarifa ya utambulisho
kutoka kwa Balozi mpya wa Italia nchini Tanzania Mh, Dkt. Luigi
Scotto (kulia) leo Ikulu Dar es Salaam.

Balozi
mpya wa Italia nchini Tanzania Mh. Dkt. Luigi Scotto akisaini kitabu
cha wageni leo Ikulu jijini Dar es Salaam alipokwenda kuwasilisha hati
za utambulisho kwa Mh, Rais Dkt. Jakaya Kikwete(hayupo pichani).

Balozi
mpya wa Italia nchini Tanzania Mh. Dkt, Luigi Scotto (kulia)
akisalimiana na baadhi ya maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje, leo
katika hafla hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment