Mkuu
wa Mkoa wa Mara John Gabriel Tuppa akisalimiana na na baadhi ya
viongozi na wazee wa mji mara tu baada ya kuwasili katika viwanja vya
maazimisho.

Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Gabriel Tuppa akiwasalimia wananchi walio hudhuria maazimisho ya Mara day.

Mkuu
wa Mkoa wa Mara John Gabriel Tuppa akipewa maelezo juu matumizi
shirikishi ya vyanzo vya maji katika banda la Wizara ya Maji.
Mkurugenzi
Masidizi Rasilimali za Maji Wizara ya Maji, Mhandisi Dk. George
Lugomela akitoa ufafanuzi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tuppa namna ya
matumizi ya pamoja ya maji kutoka kwenye vyanzo vya maji.


Mkuu
wa Mkoa wa Mara na Mkurugenzi Masidizi wa Rasilimali za Maji Wizara ya
Maji, Mhandisi Dk. George Lugomela wakipokea maelezo namna Wizara ya
maji inavyokabiliana na magugumaji katika maziwa na mito nchini.
0 comments:
Post a Comment