KUMEKUCHA MISS LUDEWA 2013, MPANGO MZIMA NI LEO HII!! Washiriki wa miss Ludewa 2013 hawa hapa wakiwa katika mapozi mbalimbali, mashindano haya yanatarajia kufanyika septemba 14 mwaka leo jumamosi katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa
0 comments:
Post a Comment