Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman leo ametembelea vkiwanda cha nguo cha Dahong Textile kilichopo Shinyanga.
Katibu
Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Balozi wa China
nchini Lu Youqinq kuhusu mipango ya China katika kuwekeza Tanzania.

Katibu
Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akijaribu kuendesha gari
maalum ya kuinulia mizigo huku akipata maelezo kutoka kwa Balozi wa
China nchini Lu Youqinq alipotembelea kiwanda cha nguo cha Dahong
Textile kinachojengwa mkoa wa Shinyanga.

Katibu
Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa kwenye picha ya pamoja
na Balozi wa China nchini Lu Youqinq na wawekezaji baada ya kumaliza
kukagua maendeleo ya viwanda hivyo ambavyo vitaajiri maelfu ya
Watanzania mara vitakapokamilika

Balozi wa China nchini Lu Youqinq akimkabidhi zawadi Laptop Katibu wa CCM wa Wilaya ya Shinyanga Charles Charles
Picha na Adam Mzee
0 comments:
Post a Comment