Monday, August 19, 2013


PIX1
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara (kushoto) afurahia jambo katika maongezi baina yake na  Balozi wa Heshima wa Tanzania nchini Botswana,  Mhaandisi Emmanuel Ole Naiko alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo Mhandisi Ole Naiko amabaye[pia ni mlezi wa Miss Tanzania amewasilisha maombi ya kumtaka Mheshimiwa Waziri kuwa Mgeni rasmi katika zoezi la kukabidhi bendera kwa Miss Tanzania anayetarajia kushiriki mashindano ya Miss World.
PIX2Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara (kushoto) akiagana Balozi wa Heshima wa Tanzania nchi Botswana amabaye pia ni mlezi wa Miss Tanzania, Mhaandisi Emmanuel Ole Naiko alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video