RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Dkt.Joyce Banda wa Malawi wakikutana na kufanya mazungumzo wakati wa mkutano wa 33 wa wakuu wa nchi za SADC uliofanyika jijini Lilongwe Malawi mwishoni mwa wiki.(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment