RAIS WA ZANZIBA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA KOREA KUSINI Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuriya Korea Kusini Kang Chang Hee,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa naUjumbe wake leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment