Monday, July 22, 2013


Kocha wa Manchester United, David Moyes amethibitisha kuwa klabu yake imeshatuma ofa nyingine ya kutaka kumsajili kiungo mahiri wa Barcelona Cesc Fabregas na hayuko tayari kukata tamaa, bali ataendelea kuwashawishi wazee hao wa katalunya ili wamuachiea kifaa hicho.
Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari  dimba la Yokohama Nissan leo hii, Moyes amesema mkurugenzi mkuu wa United, Ed Woodward anaendelea kuzungumza na miamba hiyo ya Hispani kuhusu Fabregas baada ya kutuma ofa ya pili ya pauni milioni 30, lakini kwa sasa wataongeza mzigo mwingine na kuvunja rekodi ya klabu hiyo katika usajili.
Moyes Alisema: “Nafahamu Ed anawajibika kwa hilo na amekuwa akizungumza na Barcelona na kwa mara nyingine tumeandaa ofa ya pili. Lakini Ed ndio mhusika mkuu kuliko mimi binafsi”.
Determined: David Moyes is eager to strengthen his midfield before the season begins David Moyes anataka kuimarisha safu yake ya kiungo kabla msimu mpya haujaanza 
Top target: David Moyes is refusing to give up on Cesc Fabregas at Barcelona Chaguo la kwanza: David Moyes anahitaji sana saini ya Cesc Fabregas at Barcelona wa Barcelona

KAMA MANCHESTER UNITED WATALIPA ZAIDI YA PAUNI MILIONI 30, WATAKUWA WAMEVUNJA REKODI YA USAJILI WA KLABU HIYO AMBAPO MPAKA SASA USAJILI WA  DIMITAR BERBATOV - WA PAUNI MILIONI 30.75 KUTOKA FULHAM, MWEZI SEPTEMBA,  2008 UNASHIKILIA REKODI.

Moyes alipoulizwa kama ataangalia wachezaji wengi endapo atamkosa Fabregas, alikiri kuwa ndiyo, lakini kwa sasa hawezi kuongelea poiti hiyo kwani hajapanga bado.
Reunion? Fabregas would join up with former Arsenal team-mate Robin van Persie (right) Muungano huo:  Fabregas wanaweza kuungana tena na mchezaji mwenzake wa Arsenal,  Robin van Persie (kulia)

Looking sharp: Shinji Kagawa (back) joined Danny Welbeck (right), David de Gea (centre) and Patrice Evra as the United players visited a Paul Smith store in Yokohama Wanaonekana poa sana: Shinji Kagawa (nyuma) akiwa na Danny Welbeck (kulia), David de Gea (katikati) na Patrice Evra wakati United walipotembelea duka la Paul Smith store mjini Yokohama
Suits you sir: De Gea browses the shop, stopping to check out a gaudy red number Inakufaa bwana mkubwa: De Gea akichagua nguo dukani
Sold! Wilfried Zaha is handed a bag of goodies from an excited sales assistant Inauzwa! Wilfried Zaha  akishika bagi wakiwa na muuzaji msaidizi
How much? Rio Ferdinand sifts through some clothes in store Bei gani? Rio Ferdinand akiangalia baadhi ya nguo dukani 

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video