Wajumbe
 wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) jana walifanya ziara 
katika ofisi za Makao Makuu ya Mfuko huo kwa lengo la kutembelea ofisi 
hizo na kuangalia mazingira ya kazi.
Wajumbe
 walioteuliwa hivi karibuni wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo, 
Balozi Ali Mchumo, Mwanaidi Mtanda, Ezekiah Oluoch, Donan Mmbando, 
Mohamed Mohamed, Lydia Choma, Mohamed Hashim, Charles Kajege na Emanuel 
Humba ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo.
Wajumbe
 wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakipata maelezo 
kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Raphael Mwamoto walipozuru 
Makao Makuu jana.  
Mwenyekiti
 wa Bodi, Balozi Ali Mchumo (wa tatu kutoka kulia) akipata maelezo ya 
uwekezaji uliofanywa na NHIF kutoka kwa Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji
 Bw. Rutazaa.
Mwenyekiti
 wa Bodi, Balozi Ali Mchumo (wa tatu kutoka kulia) akipata maelezo ya 
uwekezaji uliofanywa na NHIF kutoka kwa Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji
 Bw. Rutazaa.
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emanuel Humba akiongozana na Mwenyekiti wa Bodi Balozi Mchumo kukagua maeneo ya Mfuko huo 
Mkurugenzi
 wa Uendeshaji, Eugen Mikongoti akitoa maelezo ya namna ya kuhifadhi 
kumbukumbu za wanachama katika kituo cha kisasa cha Mfuko huo.  
 
Wajumbe
 hao wakipata maelezo kutoka kwa Ofisa wa NHIF namna ya upatikanaji wa 
haraka wa kumbukumbu za wanachama zinazohifadhiwa katika kituo hicho. 
 
 
Wajumbe wakiendelea kujifunza zaidi katika kituo cha kuhifadhia kumbukumbu.  
Mkurugenzi Mkuu Emanuel Humba akifafanua jambo wakati wa ziara hiyo. 
Mkurugenzi Mkuu Emanuel Humba akifafanua jambo wakati wa ziara hiyo. 

0 comments:
Post a Comment