Kamishna
wa Fedha na utawala wa Magereza Gaston Sanga akikagua wahitimu wa
mafunzo ya uongozi daraja la kwanza kozi namba 20 katika sherehe za
kufunga mafunzo hayo yaliyo fanyika katika chuo cha Magereza Kiwira
Tukuyu Rungwe Mkoani Mbeya
Kamishna
wa Fedha na utawala wa Magereza Gaston Sanga akimtunuku cheo cha Ukoplo
Askari B4448 Patric Babara kwa niaba ya wahitimu wa mafunzo ya uongozi
daraja la kwanza kozi namba 20 katika sherehe za kufunga mafunzo hayo
yaliyo fanyika katika chuo cha Magereza Kiwira Tukuyu Rungwe Mkoani
Mbeya
Wahitimu wakiwa kwenye Gwaride wakipita kwa mwendo wa Haraka mbele ya Mgeni Rasmi.
Baadhi ya Maofisa wakifuatilia kwa Makini shughuli za Mahafali
Baadhi ya Wahitimu wakionesha umahiri wa kupambana na maadui
0 comments:
Post a Comment